Muonekano wa mradi ukiwa hatua ya kupanga mawe tarehe 22/11/2021
Muonekano wa mradi ukiwa hatua ya umaliziaji wa kupandisha ukuta tarehe 26/11/2021
Mwonekano wa mradi ukiwa hatua ya ufungaji wa mbao za zege mzunguko(renta) tarehe 27/11/2021
Mwonekano wa madarasa matatu na ofisi moja ikiwa hatua ya zege mzunguko tarehe 29/11/2021
Mwonekano wa madarasa matatu na na ofisi moja ya walimu ukiwa hatua ya kuweka tofali baada ya zege mzunguko (renta) tarehe 29/11/2021
Mwonekano wa mradi ukiwa hatua ya umaliziaji tarehe 4/12/2021
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa