Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba DCI.Mariam Mwanzalima Juni 21,2025 ametembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ya elimu inayoendelea kutekelezwa.
Miradi aliyotembelea ni ujenzi wa mambweni mawili na vyumba viwili vya madarasa Shule ya Sekondari Luagala,Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Kata ya Mkwedu na ujenzi wa mabweni mawili shule ya Sekondari Makondeni .
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa