Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mntenjele akiwa na Kamati ya Usalama ya Wilaya pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo leo Juni 25,2025 amekagua miradi ya Maendeleo ya sekta ya Elimu ambapo amesistiza kasi iongezeke sambamba na juhudi za usimamizi ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati.
Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa ni Ujenzi wa mabweni mawili na vyumba viwili vya madarasa Shule ya Sekondari Luagala.Shule ya Sekondari Mpya Mkwedu,Ujenzi wa mabweni mawili na vyumba viwili vya madarasa Shule ya Sekondari Makondeni na Shule ya Msingi Mpya Malamba
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa