Hata hivyo uzalishaji wa maji hautoshelezi matumizi ya wakazi katika wilaya. Tatizo kubwa ni kwamba Wilaya haina chanzo chake chenyewe cha maji.
Kuzingatia hali hapo juu, halmshauri inakusudia kuaongeza huduma ya maji kwa wananchi kwa kuileta huduma hiyo karibu na walipo. Hii ni pamoja na kuimarisha kamati na mifuko ya maji. Wilaya pia inakusudia kuanzisha Mamlaka na bodi ya maji ya wilaya. Katika kipindi hiki cha mpango, Wilaya inakusudia kuanzisha miradi mipya ya maji kwenye vijiji 50, kuwaelimisha wananchi juu ya teknolojia rahisi na sahihi ya uvunaji maji katika vijiji 30 na Kuunda Mamlaka ya Maji na Jumuiya 30 za watumia maji
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa