Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa ya Watu na makazi Mhe.Kanali Patrick Sawala akiwa katika kikao kazi cha madiwani na watendaji kata lengo kuongeza kasi katika uhamasishaji wa zoezi la sensa katika kata zao
Waheshiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wakiwa katika kikao na kamati ya Sensa ya Watu na Makazi Wilaya katika ukumbi wa mikutano
Mratibu wa sensa ya watu na makazi Halmasahauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Karim Mputa akifafanua jambo kuhusu sensa kwa madiwani na watendaji wa kata
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa