Matukio Mbalimbali ya picha ya maadhimisho ya Juma la Elimu Kiwilaya
Katibu Tawala Wilaya ya Tandahimba akikabidhi zawadi mbalimbali katika maadhimisho ya Juma la Elimu Kiwilaya ambayo yalifanyika katika viwanja vya shule ya msingi Amani kata ya Tandahimba