Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara ndg Mgeni Haji (pichani wa kati) akiwa na Dc Sawala (kusho) na Afisa Tawala wakikagua vyumba vya madarasa Sekondari Tandahimba