Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba imepokea jumla ya Vitabu 3900 vilivyotolewa na Wizara ya Afya Kwa ajili ya kupima maendeleo ya ukuaji wa mtoto na maendeleo ya ujauzito.
Vitabu hivyo vyenye Thamani ya Tsh.Milioni 3.2 vimepokelewa na Maafisa wa Hospitali hiyo kwa Niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ambapo vitasaidia wajawazito na Watoto.
#kaziiendelee
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa