• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

WAZAZI NA WALEZI WAASWA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA WA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATIL WA KIJINSIA.

Posted on: December 10th, 2024

Na Kitengo cha Mawasiliano. 

Wazazi na wallezi wametakwia kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto sambamba na kutokomeza  vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii .

Hayo amesema  Mhe  Kanali Michael Mntenjele kwa niaba ya Mkuu wa  Mkoa wa Mtwara  kwenye maadhimisho ya kilele cha Kampeni ya Siku 16 za kupinga ukatili  wa kijinsia yaliyofanyika Kimkoa Wilayani Tandahimba leo Desemba 10,2024.

Amesema bado vitendo vya ukatili  vipo kwenye jamii ambapo  ukatili  wa kihisia unaongoza  ukifuatiwa na utelekezaji wa watoto." Changamoto kubwa ni ukimya unaotawala kwenye familia linapotokea suala la ukatili lakini nitoe rai kwa wadau na familia kutoa taarifa pale ukatili unapotokea.

Aidha amewakumbusha wazazi na walezi kuhakikisha fedha walizopata zinawasaidia watoto kwa ajili ya mahitaji muhimu ya shule mara shule zitakapofunguliwa Januari mwaka 2025.

 Kwa upande wake mwakilishi wa Asasi za kiraia Mkoa wa Mtwara ndugu Baltazari Komba amesema kila aina ya ukatili huleta atharii katika jamii hivyo elimu inaendelea kutolewa kwa wananchi ili kujenga uelewa na kutokomeza vitendo hivyo.

Kauli mbiu ya maadhimisho hayo Mwaka huu ni "Kuelekea Miaka 30 ya Beijing Chagua Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa