Na Kitengo cha Mawasiliano
Watumishi na Wananchi Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wameshiriki kufanya Usafi wa Mazingira wa mwisho wa Mwezi ambao umefanyika leo June 24,2023 katika eneo la soko jipya Kata ya Tandahimba
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa