Na.Kitengo cha Mawasiliano
Watumishi na Wananchi Halmasahauri ya Wilaya ya Tandahimba wameshiriki kufanya usafi wa Mwisho wa Mwezi Novemba ili kuendelea kuweka mazingira safi
Usafi huo umefanyika Novemba 26,2022 katika kata zote 32 za Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba katika maeneo ya makazi,ofisi,biashara na wanaoishi kando ya barabara wamefanya usafi kwenye mitaro iliyopo mbele ya makazi yao
Aidha Wataalam walipita kukagua maeneo ambayo yamefanyiwa usafi nay ale ambayo hayakufanyiwa usafi wahusika wametozwa faini na kutakiwa kufanya usafi katika eneo lake
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa