Na Kitengo cha Mawasiliano.
Watoa huduma wa vituo vya afya na Timu ya Usimamizi wa huduma za afya Halmasahauri ya Wilaya ya Tandahimba wamejadili na kuweka mikakati ya kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga Septemba 26,2023 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.
Aidha katika kikao hicho watoa huduma hao wameweza kupitia taarifa za vifo vilivyotokana na uzazi pamoja na watoto wachanga kati ya Mwezi Julai - Sept 2023 na kufikia maazimio ya uboreshaji wa huduma za mama na mtoto katika vituo vya kutolea huduma vya Halmashauri ya Wilaya Tandahimba.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa