Na Kitengo cha Mwasiliano
Jumla ya Watahiniwa 2021 wa Kidato cha Nne katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wameanza Mitihani yao ya Taifa leo Novemba 14,2022,ambayo itamalizika Disema 1,2022
Katika Idadi ya Watahiniwa 2021 idadi ya Wavulana ambao wanaanza Mitihani hiyo ni 851 na Wasichana Idadi yao ni 1170
Baraza la Madiwani,Menejimenti na Watumishi wa Halmasahauri ya Wilaya ya Tandahimba inawatakia Mitihani mema ya Taifa watahiniwa wote na Mungu awatangulie katika Mitihani hiyo
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa