Na Kitengo cha Mawasiliano.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mwl.Sosthenes Luhende amewataka watumishi walioshiriki mafunzo ya Mfumo wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya kielektroniki (National e-procurement system of Tanzania_NeST)kuzingatia mafunzo hayo.
Mafunzo hayo yametolewa leo Desemba 17,12,2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Tandahimba kwa baadhi ya watumishi wa kada ya Elimu na Afya kutoka Kwenye Halmashauri tatu ambazo ni Tandahimba Dc,Newala DC na Newala TC
Kwa upande wake mwezeshaji Hamis Ally kutoka Idara ya Elimu OR- Tamisemi amesema lengo ni kuwajengea uwezo kuhusu mfumo huo ili utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ikamilike kwa wakati .
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa