Na Kitengo cha Mawasiliano
Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Wananchi wa Kata ya Mchichira Aprili 24,2023 wameshiriki kufanya usafi wa mazingira katika makazi yao , Ofisi ya tarafa,kituo cha afya na shule shikizi Mnarani
Akizungumza na wananchi wa mchichira katika Ofisi ya Tarafa ya Mchichira Katibu Tawala Wilaya ya Tandahimba Ndg. Juvenile Mwambi amewapongeza wananchi kwa kushiriki kuweka mazingira safi
Naye Diwani wa Kata ya Mchichira Mhe.Jamali Mtonya amesema kwamba wananchi wa Mchichira wapo tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Kimkoa ambayo yatafanyika katika makao makuu ya Tarafa hiyo kata ya Mchichira
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa