Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mtenjele ameongoza Kikao Cha kwanza Cha wadau wa Mwenge Kwa ajili ya kujadili mikakati mbalimbali ya kupokea Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kufika Tandahimba Juni 2, 2024.
Aidha, Mwenge wa Uhuru 2024 unatarajiwa kukimbizwa umbali wa Kilomita 74.4 katika Kata 12 ambazo ni Miuta, Mihambwe, Kitama, Tandahimba, Malopokelo, Namikupa, Maundo, Mchichira, Mnyawa, Mkundi, Chikongola na Mahuta ukikagua kuzindua na kuweka jiwe la Msingi katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa