Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba kuadhimisha Siku ya mazingira Duniani kwa kufanya Usafi maeneo mbalimbali ya
Halmashauri Mei 31, 2025.
Wananchi wote Mnakaribishwa kuanzia saa 12:00 asubuhi
Kauli mbiu
“Mazingira yetu ni Tanzania Ijayo, tuwajibike sasa, dhibiti matumizi ya plastiki”
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa