Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tandahimba Ndg.Mussa Gama amesema Disemba 17,2022 wananchi wa Kata ya Mndumbwe watafanya Uchaguzi mdogo wa Udiwani baada ya aliyekuwa Diwani wa kata hiyo Mhe.Juma Nangololo kufariki Mei 12,2022
Amesema hayo Novemba 23,2022 ambapo ameeleza kuwa maandalizi ya Uchaguzi huo unaendelea vizuri siku ya tarehe 24/11/2022 wagombea wameanza kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi ya Msimamizi Msaidizi Kata ya Mndumbwe
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa