Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amewasistiza waumini wa kikristo kuendelea kuzingatia na kulinda maadili yetu ya Kitanzania ili kuwalinda watoto na vitendo viovu sambamba na kuendelea kudumisha amani,upendo na mshikamano
Amesema hayo Aprili 9,2023 wakati akitoa salamu za Serikali katika Ibada ya Pasaka kanisa la Parokia ya Kristo Mfalme Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ambapo amewatakia Heri ya Pasaka waumini wote wa kikristo
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa