Na Kitengo cha Mawasiliano
Watendaji Kata Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wametakiwa kutekeleza maazimio ya utekelezaji wa afua za lishe katika maeneo yao kwa wakati
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala Wilaya ya Tandahimba Ndg.Rashid Shaban kwenye kikao cha Tathmini ya utekelezaji wa afua za lishe robo ya nne Julai 13,2023 kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri
“Nawapongeza kwa kutekeleza afua za lishe katika maeneo yenu pia mkasimamie na kutekeleza maazimio ambayo tumejiwekea kwa wakati tuliokubaliana,”amesema Katibu Tawala
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa