Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amewataka Wasimamizi wa miradi ngazi ya vijiji na Kata kusimamia miradi hiyo kwa uadilifu ili iweze kukamilika kwa wakati na ubora unaotakiwa.
Amesema hayo leo Septemba 29,2023 kwenye kikao cha uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ya Mwaka wa Fedha 2022/2023 kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Tandahimba.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa