• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

RUZUKU YA UZALISHAJI YAINUA UCHUMI WA KAYA ZA WALENGWA WA TASAF TANDAHIMBA.

Posted on: December 12th, 2024

Na Kitengo cha Mawasiliano 

Wanufaika wa TASAF wa Ruzuku ya Uzalishaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wameishukuru Serikali kwa  kuwawezesha kuanzisha biashara ambazo zinawasaidia kuimarisha uchumi wa kaya zao .

Khadija  Ibrahimu Nyalaka  mkazi wa Kata ya Mchichira ni  miongoni mwa walengwa wa TASAF walionufaika na ruzuku ya uzalishaji ambapo yeye anaelezea jinsi biashara yake  ya uuzaji wa korosho zilizobanguliwa zinavyomuinua kiuchumi.

Amesema awali ilikuwa ngumu kuanza biashara kutokana na ukosefu wa mtaji lakini baada ya kapata ruzuku ya uzalishaji kutoka TASAF ameweza kuinua uchumi wa kaya yake  kwa kufanya biashara hiyo ambayo inamuongezea kipato.

“Naishukuru sana Serikali  kwa ruzuku ya uzalishaji ambazo wametupa sisi walengwa  zimetuinua sana,jukumu langu ni kuhakikisha naisimamia biashara yangu ili isonge mbele na kukuza mtaji wangu,”amesema Khadija

Lakini pia ruzuku ya uzalishaji imemnufaisha mlengwa Halima Masudi Mageye  mkazi wa Shangani Kata ya Mchichira ambapo ameanzisha biasahara ya kuuza kahawa  inayomwezesha kuinua uchumi wa kaya yake.

Kwa upande wake Afisa Ufuatiliaji wa TASAF  Wilaya ya Tandahimba Rahel Kyomo  amesema kuwa walengwa waliandaa mipango yao ya biashara ambayo wanaitekeleza huku  wakifuatiliwa kwa ukaribu na wataalamu.

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Vipaumbele Mahususi vya Bajeti ya 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TANDAHIMBA LAPITISHA MAKISIO YA MPANGO NA BAJETI YA TSH .BIL.40.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

    February 13, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa