• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

RC SAWALA AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MKWEDU HALMASHAURI YA TANDAHIMBA

Posted on: June 10th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Patrick Sawala leo Juni 10,2025 amekagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari iliyopo Kata ya Mkwedu Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wenye gharama ya Shilingi Milioni 560.5 ambapo amesistiza kasi iongezeke 


Amesema mradi huo ukikamilika kwa wakati wanafunzi wataanza kusoma utapunguza chanamoto wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata shule


Aidha akizungumza na wananchi waliokuwepo kwenye eneo hilo la mradi amewapongeza kwa kushiriki katika utekelezaji wa mradi huo .


Mradi huo unaotekelezwa kupitia Programu ya kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) unatarajia kuhudumia wanafunzi 320


#Tandahimba tumejipanga kazi zinaendelea

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 10, 2025
  • RC SAWALA AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MKWEDU HALMASHAURI YA TANDAHIMBA

    June 10, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WA KAMATI YA FEDHA WILAYA YA TANDAHIMBA WAKIWA MKOANI SIMIYU NA MATARAJIO YAO KWA WANANCHI.

    June 10, 2025
  • MWENGE WARIDHIA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MIVANGA UTAKAONUFAISHA ZAIDI YA WANANCHI 2000.

    May 22, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa