Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Ahmed Abbas Ahmed ametembelea utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ambayo ipo katika hatua mbalimbali za ukamilishaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Akitembelea miradi hiyo Oktoba 18,2022 ambayo ni Ujenzi wa madarasa ya Awali ya Mfano Shule ya Msingi Mjimpya,Ujenzi wa Kituo cha AFya Kitama, Ujenzi wa Kituo cha afya Mambamba ,mradi wa Maji wa Wanufaika wa TASAF na kuzungumza na wananchi
“Nawapongeza kwa usimamizi wa miradi lakini zile changamoto ndogo ndogo ambazo zipo hakikisheni mnazimaliza ili miradi ikamilike wananchi waendelee kupata huduma,”amesema Rc
Aidha Rc alizungumza na wananchi wa kijiji cha Majengo na Mambamba ambapo wananchi walitoa kero zao mbalimbali ambazo zilitolewa ufafanuzi
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa