Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Ahmed Abbas Ahmed amekuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi ambapo pia amekabidhi zawadi mbalimbali na vyeti vya pongezi kwa wafanyakazi hodari
Zawadi hizo amekabidhi katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Kimkoa ambayo yameadhimishwa Mei 1,2023 katika Uwanja wa Boma Wilayani Masasi
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Kitaifa yameadhimishwa Mkoani Morogoro ambapo Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni "Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi.Wakati ni sasa"
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa