Na Kitengo cha Mawasiliano
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Fedha na Mipango kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanziabar Mhe.Ali Suleimani Ameir akiwa na Kamti ya Uchumi ya Baraza la Wawakilishi wametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Akisoma taarifa ya maendeleo Agosti 9,2022 Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala alieleza fursa za uwekezaji zilizopo Wilaya ya Tandahimba
Katika Ziara hiyo Mhe.Naibu Waziri alitoa wito kwa Benki ya Watu wa Zanzibar Tawi la Tandahimba (PBZ) kuendelea kutoa mikopo nafuu kwa wakulima ili waweze kuongeza uzalishaji na kukuza uchumi
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa