Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara Mhe.Said Nyengedi akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mara baada ya kukagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Tandahimba ambapo amewasisitiza Wananchi kuunga Mkono Serikali hasa kwa wakati huu ambapo Serikali inajitahidi kuboresha Maisha ya Watanzania kupitia Miradi ya Maendeleo yenye tija kwa wananchi ikiwemo Miradi ya Elimu, Afya, Barabara, Maji, Umeme.
Aidha, Mhe.Nyengedi ametumia fursa hiyo kuwaasa Wananchi kuwalinda watoto dhidi ya Mmomonyoko wa Maadili pamoja na kuwapatia haki zao zote za Msingi ikiwemo Elimu Bora.
Mkutano huo wa hadhara umefanyika katika Kata ya Maundo Wilaya ya Tandahimba
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa