• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

MWENGE WARIDHIA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MIVANGA UTAKAONUFAISHA ZAIDI YA WANANCHI 2000.

Posted on: May 22nd, 2025


Mei 22, 2025


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ismail Ali Ussi ameridhia kuweka jiwe la msingi kwenye Mradi wa Maji Mivanga Halmashauri ya Tandahimba wenye thamani ya Tsh. Milioni 455 fedha kutoka Serikali Kuu kupitia programu ya lipa kwa matokeo(P4R) sambamba na wadau mbalimbali wa Maji ambao unatarajia kuwanufaisha wananchi wapatao 2750 wa kijiji cha Mivanga.


Akizungumza na wananchi wa Mivanga kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa amesema dhamira ya Rais Samia ni njema katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama mijini na vijijini na ndio maana anatoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya maji.


Aidha, Amewasisitiza wananchi kuhakikisha wanaitunza miundombinu ya maji ili iweze kudumu kwa muda mrefu .

"Unapomuona mtu anaharibu miundombinu toa taarifa kwa mamlaka husika ili aweze kuchukuliwa hatua za kisheria, nawaomba sana tuitunze na kuilinda miundombinu hii" Ussi


Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Tandahimba Mhe.Katani Katani ameishukuru serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi wa miradi mingi ya maji ukiwemo wa Mivanga .


Kaulimbiu: Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • MWENGE WARIDHIA KUWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MIVANGA UTAKAONUFAISHA ZAIDI YA WANANCHI 2000.

    May 22, 2025
  • USAFI MWISHO WAWEZI

    May 31, 2025
  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa