Na Kitengo cha Mawasiliano
Mwenge wa Uhuru umewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba na kupokelewa katika Uwanja wa Shule ya msingi Miuta na Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala ukitokea katika Halmasahauri ya Mji Nanyamba
Mwenge wa Uhuru ukiwa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba utakimbizwa Km 54.4 kuanzia eneo la mapokezi hadi eneo la makabidhiano ambapo utazindua miradi miwili ,kuweka jiwe la msingi miradi mitatu na kuona shughuli za uwezeshaji wananchi kiuchumi kupitia mikopo ya aslimia 10 inayotolewa na Halmashauri ambapo miradi yote inathamani ya shilingi Bil.4.99
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa