• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Mgombea wa CCM ashinda nafasi ya Udiwani Kata ya Mndumbwe

Posted on: December 17th, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano 

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Mndumbwe Ndg.Christian Mazuge  amemtangaza Ndg.Juma Chibwana Mundedu Mgombea wa Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa nafasi ya Udiwani  kwa kupata  kura 1444 katika Uchaguzi  mdogo wa Udiwani

Uchaguzi mdogo wa Udiwani umefanyika katika  kata ya Mndumbwe Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba  Disemba 17,2022

Amesema kuwa  mgombea wa CCM Ndg.Juma Chibwana Mundedu amewashinda wagombea wenzake wawili waliogombea nafasi hiyo ambao ni Ndg.Said Abdala Bakari wa chama cha ACT-Wazalendo aliyepata kura 588 na Ndg.Ally Abdala Mnalima wa Chama cha ADC aliyepata  kura 180

Aidha Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ndg.Mazugeamemkabidhi mshindi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) cheti cha pongezi mara baada ya  kumtangaza kuwa Diwani wa Kata ya Mndumbwe ambapo wapiga kura waliojiandikisha  ni 4997 kati ya hao waliopiga kura2277,kura halali ni 2212,kura zilizoharibika ni 65

Naye Mshindi wa nafasi ya Udiwani kata ya Mndumbwe amewashukuru  wapiga  kura waliojitokeza katika zoezi hilo na kumchagua kwa kura nyingi ambazo zimemfanya kuwa mshindi huku akiahidi kushirikiana na wananchi wake katika kutekeleza shughuli za maendeleo katika kata ya Mndumbwe

Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Mndumbwe ulitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kufanyika  Disemba 17,2022 baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata hiyo Juma Likapa Nangololo kufariki dunia Mei 12,2022

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Vipaumbele Mahususi vya Bajeti ya 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TANDAHIMBA LAPITISHA MAKISIO YA MPANGO NA BAJETI YA TSH .BIL.40.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

    February 13, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa