Na Kitengo cha Mawasiliano
Kuelekea Uchaguzi Mdogo wa nafasi ya Udiwani Kata yay a Mndumbwe ambao utafanyika Disemba 17,2022,Msimamizi wa Uchjaguzi Jimbo la Tandahimba Ndg.Mussa Gama amewaapisha Mawakala wa vyama vya siasa
Akiwaapisha leo Disemba 10,2022 amewasistiza kuzingatia taratibu ,sheria na maadili ya uchaguzi wanapowawakilisha wagombea wa vyama vyao siku ya Uchaguzi Disemba 17,2022
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa