Na Kitengo cha Mawasiliano
Katibu Tawala Wilaya ya Tandahimba ametoa rai kwa Makatibu wa vyama vya msingi vya ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba kufanya kazi ya ugawajiwa Pembejeo kwa uaminifu ili kila mkulima aweze kupata kulingana na mgao wake
Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Makatibu wa AMCOS ambayo yamefanyika katika shule ya Sekondari Tandahimba Mei 18,2023 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Kwa upande wake Afisa Kilimo Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Ndg.Geofrey Mwalembe amesema lengo la mafunzo ni kuwajengea uelewa wa kutumia mfumo wa kidigitali katikaugawaji wa pembejeo kwa msimu 2023/2024
Mafunzo hayo yameandaliwa na Bodi ya Korosho Tanzania ili kuwajengea uwezo Makatibu wa ugawaji wa pembejeo kwa njia ya mfumo katika msimu wa kilimo mwaka 2023/2024
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa