Na Kitengo cha Mawasiliano
Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamewasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za Maendeleo zilizofanyika katika Kata zao kwa kipindi cha robo ya kwanza mwaka 2022/2023
Taarifa hizo zimewasilishwa leo wamewasilisha leo Novemba 23,2022 kwenye mkutano wa Baraza la madiwani uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Tandahimba
Katika taarifa zao madiwani wameeleza kuwa hali ya Ulinzi na usalama katika maeneo yao umeimarika na kuwawezesha wananchi kuendelea na shughuli zao za Maendeleo
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa