Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba DCI.Mariam Mwanzalima kwa usimamizi wa ukusanyaji wa mapato kwa kipindi cha robo ya pili 2024/2025
Pongezi hizo zimetolewa Januari 11 ,2025 na madiwani kwenye mkutano wa kawaida wa Baraza la madiwani kipindi cha robo ya pili 2024/2025 ambapo Mkurugenzi Mtendaji aliwasilisha taarifa yake ya robo ya pili kwenye Baraza hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.
.#Tandahimba tumejipanga kazi zinae
ndelea
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa