Na Kitengo cha Mawasiliano
Madiwani na Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji wamefanya ziara ya kujifunza jinsi mfumo wa stakanadhi ghalani unavyofanya kazi kwa wakulima wa korosho Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Ziara hiyo imefanyika Julai 12,2023 ambapo walipewa taarifa fupi kisha kutembelea Chama cha Msingi Mitondi B na Kiwanda cha Kubangua Korosho cha Jabari
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Mhe.Abdul Chobo ameipongeza Halmashauri ya Tandahimba kwankufanikiwa kusimamia mfumo huo ambao unaleta tija kwa wakulima na Halmashauri kupata mapato ambayo yanaleta maendeleo kwa wananchi wake.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa