Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Ahmed Abbas Ahmed amezindua mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa ya awali ya mfano yenye thamani ya shilingi milioni hamsini na tano laki nane na elfu arobaini( 55,840,000 ) katiia shule ya msingi Mjimpya kata ya Tandahimba
Uzinduzi huo umefanyika Aprili 26,2023 ambapo ni miongoni mwa sherehe za maadhimisho ya kilele cha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo Kimkoa yamefanyika kijiji cha Mchichira Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Mradi huo umeambatana na ununuzi wa michezo ya watoto umeboresha mazingira ya wanafunzi hususan wa darasa la awali
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa