Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Ahmed Abbas Ahmed leo Januari 25, 2024 amezindua Kampeni ya upandaji miti Kimkoa katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba na kuwasisitiza Wananchi wote kujenga utamaduni wa Kupanda Miti ili kutunza mazingira kukabiliana na Mabadiliko ya tabia Nchi .
Kwa Upande wake Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara Mhe. said Nyengedi ameipongeza Tandahimba kwa kuwa mstari wa Mbele katika kutunza mazingira.
Kauli mbiu ya Kampeni hizo ni "Tunza Mazingira, Okoa vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe na Uchumi wa T
aifa"
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa