Na Kitengo cha Mwasiliano
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Tandahimba (KU) ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala akiwa pamoja na Wataalamu wamefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru 2023
Ziara hiyo imefanyika Februari 22,2023 ambapo wamekagua miradi yote yenye thamani ya Zaidi ya shilingi Bilioni nne ambayo itatembelewa na Mwenge wa Uhuru Aprili 5,2023 ambapo kauli mbiu "Tunza Mazingira Okoa Vyanzo vya Maji kwa ustawi wa viumbe hai na Uchumi wa Taifa"
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa