Mkuu wa Kitengo Cha TEHAMA Elvida Ndosi, Kwa kishikiana na Kitengo Cha Manunuzi Wilaya ya Tandahimba wametoa mafunzo ya siku Nne ya Mfumo wa NeST
Kwa Wakuu wa Shule Sekondari na Msingi ,wakuu wa vituo vya Afya na Zahanati kutoka katika Halmashauri hiyo.
Akizungumza wakati wa mafunzo hayo Ndosi amesema mafunzo hayo yatawasaidia uwezo wa kununua vifaa na huduma mbalimbali kutoka kwa wazabuni, kupitia mfumo wa NeST.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa