Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala ameongoza kikao cha wadau cha maandalizi ya Mwenge wa Uhuru 2023 ambapo Kamati zimeundwa ili kufanikisha ujio huo
Kikao hicho kimefanyika Januari 26,2023 katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ambapo Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmasahauri ya Wilaya ya Tandahimba Aprili 5,2023
Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 Kitaifa unatarajiwa kuzinduliwa Mkoa wa Mtwara Aprili 2,2023
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa