Na Kitengo cha Mawasiliano
Kamati ya Usimamizi ya Jamii (CMC) na Fundi viongozi (LSP) wamejengewa uwelewa wa kuweka kumbukumbu ya mapokezi ya vifaa katika kitabu cha stoo
Mafunzo hayo ya siku tano yalianza Mei 19,2023 na kuhitimishwa Mei 22,2023 katika ukumbi wa mikutano wa Halnashauri ya Wilaya ya Tandahimba ambapo jumla ya CMC 197 na LSP 177 wamejengewa uwelewa ili kutekeleza miradi hiyo kwa ufanisi sambamba na kutunza vifaa wanapomaluza mradi
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa