Na Kitengo cha Mawasiliano
Kuelekea mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Aprili 5,2023 Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tandahimba Mhe.Ismaili Mkadimba Aprili 4,2023 imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ambayo itapitiwa na Mwenge wa Uhuru 2023
Miradi iliyotembelewa na kamati ya siasa ni Ujenzi wa kiwanda cha kubangua korosho Organic Growth kilichopo kata ya Kitama,mradi wa ujenzi wa nyumba ya watumishi wa afya (3 kwa 1) hospitali ya Wilaya ya Tandahimba,mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Uhamiaji Wilaya,mradi wa ujenzi wa barabara ya lami Km. 1.715 na mradi wa ujenzi wa vyumba vine vya madarasa shule ya sekondari Tandahimba
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa