Na Kitengo cha Mawasiliano
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara leo Januari 8,2025 imekagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba na kuridhishwa nayo huku wakisistiza wakandarasi wa baadhi ya miradi kuongeza kasi ili ikamilike kwa wakati.
Miradi iliyotembelewa na Kamati hiyo ni mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Makondeni,Ujenzi wa bweni shule ya Sekondari Mdimba,mradi wa maji Maundo/ Nanyuwila,Mradi wa Ujenzi wa Zahanati ya Mitumbati kata ya Kwanyama na ujenzi wa barabara Mahakamani - Massau
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa