Na Kitengo cha Mawasiliano.
Kamati ya Mwenge Mkoa wa Mtwara imefika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru.
Kamati hiyo imejiridhisha na Miradi ikiwemo ya Elimu, Maji na , Barabara ambayo baadhi imekamilika na mingine inaendelea kutekelezwa.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa