Na Kitengo cha Mawasiliano
Kamati ya lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mei 17,2023 imejadili taarifa ya utekelezaji wa afua za lishe robo ya tatu 2022/2023 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri na kuweka mikakati na maazimio ya kuendelea kufanya vizuri zaidi katika afua za lishe kipindi cha robo ya nne
Katika kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala alialikwa kushiriki ambapo amesistiza kusimamia mikakati na maazimio ya utekelezaji wa afua za lishe ili kufikia malengo
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa