Kamati ya Lishe Wilaya ya Tandahimba Februari 3,2025 ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndugu.David Sinyanya imejadili utekelezaji wa afua za lishe kwa kipindi cha robo ya Pili kuanzia Oktoba hadi Desemba 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa Wilaya.
#Tandahimba tumejipanga kazi zinaendelea
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa