Na Kitengo cha Mawasiliano
Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imepata Tuzo kwa kushika nafasi ya kwanza katika kundi la Halmashauri za Wilaya kwenye Usimamizi Bora wa Rasilimaliwatu.
Tuzo hiyo imetolewa katika Mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu uliofanyika Jijini Dodoma Desemba 17,2024.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa