• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI

Posted on: May 12th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Wauguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba  wameungana na Wauguzi duniani kusherekea siku ya Wauguzi kwa  kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa wa Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba

Akizungumza kwenye maadhimisho hayo ya Kiwilaya  ambayo yamefanyika katika Hospitali ya Wilaya Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mei 12,2023 Mhe.Patrick Sawala ametoa wito kwa wauguzi kuendelea kutoa huduma kwa kuzingatia maadili ya kazi zao na upendo  kwa wagonjwa

“Nawapongezeni wauguzi kwa kazi nzuri mnazofanya ombi langu endeleeni kuifanya hiyo kazi ya kuwahudumia wananchi kwa huruma na upendo,lakini nitumie fursa hii kumshukuru Mhe.Rais kwa ukuzaji na uboreshaji wa sekta ya afya katika Wilaya yetu”amesema Dc Sawala

Aidha naye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mussa Gama amewapongeza kwa kuadhimisha siku yao ya wauguzi na kuwaahidi ushauri waliotoa katika taarifa yao utashughulikiwa

Wauguzi wameadhimisha kwa  maandamano kuanzia ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala katika hospitali ya Wilaya ambapo Kauli mbiu ya mwaka 2023 "WAUGUZI WETU MUSTAKABALI WETU"

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Vipaumbele Mahususi vya Bajeti ya 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TANDAHIMBA LAPITISHA MAKISIO YA MPANGO NA BAJETI YA TSH .BIL.40.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

    February 13, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa