• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI YA TANDAHIMBA YAZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI

Posted on: August 4th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano 


Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Aloyce Massau l Agosti 4,2023  amezindua  rasmi maadhimisho ya Wiki ya unyonyeshaji duniani katika Hospital ya Wilaya ya Tandahimba  kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri

Akizungumza wakati wa uzinduzi uliofanyika katika hospitali ya Wilaya amesema kuwa Unyonyeshaji wa maziwa ya mama ukifanyika ipasavyo watoto wachanga watakuwa na hali nzuri ya lishe itakayoboresha ukuaji na maendeleo ya kimwili na kiakili

Aidha amesema kuwa Unyonyeshaji ukizingatiwa gharama za matibabu zitapungua kutokana na kuimarika kwa kinga ya mwili kwa watoto hali itakayosababisha kupungua kwa kasi ya watoto kuugua mara kwa mara

" Maadhimisho haya  yawe chachu ya kuchochea mabadiliko chanya ya kilishe  ili kujenga,kukuza na kusaidia unyonyeshaji," amesema Massau

Kwa upande wake Mganga Mkuu Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba Dkt.Grace Paul amewasistiza akina mama kuzingatia taratibu sahihi za unyonyeshaji ambazo wanapewa na wataalamu katika vituo vya kutolea huduma

"Maadhimisho haya katika Halmashauri yetu tumeanza kuanzia Agosti 1, ambapo elimu inatolewa kwa  jamii,muhimu akina mama kuzingatia elimu wanayopewa ma wataalamu",amesema Dkt.Grace

Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani hufanyika kila Mwaka ambapo kauli mbiu ya Mwaka huu " Saidia Unyonyeshaji,wezesha Wazazi kulea Watoto na kufanya kazi zao kila siku"

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Vipaumbele Mahususi vya Bajeti ya 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TANDAHIMBA LAPITISHA MAKISIO YA MPANGO NA BAJETI YA TSH .BIL.40.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

    February 13, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa