Na Kitengo cha Mawasiliano
Watoto chini ya miaka mitano 53592 sawa na asilimia 115.9 wamepatiwa chanjo ya Polio ya Matone katika Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Polio ya Awamu ya nne katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Katika Kampeni hiyo watoa huduma za afya walitoa chanjo hizo kwa kutembelea nyumba kwa nyumba pia huduma ilitolewa katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya
Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Polio awamu ya nne ilianza Disemba 1 hadi 4,2022, Halmashauri ilipewa lengo la kuchanja watoto 46249 ambapo Halmashauri ya Tandahimba imepita le
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa